UHAMISHO 2015: ARTURO VIDAL RASMI AJIUNGA NA KLABU YA BAYERN MUNICH, APEWA JEZI NO.23
Arturo Vidal akimwaga wino kwenye mkataba kujiunga na Klabu ya Bayern Munich kwa miaka minne leo hii jumanne Mambo safi kwa Vidal Vidal sasa kuvaa jezi No. 23 na hapa akiwa karibu na Rais wa Bayern Karl-Heinz Rummenigge Vidal akimwaga winoArturo Vidal
No comments:
Post a Comment