BUKOBA SPORTS

Wednesday, July 1, 2015

UHAMISHO 2015: NATHANIEL CLYNE AJIUNGA NA KLABU YA LIVERPOOL, ASAINI MKATABA WA MIAKA 5


Akimwaga wino kwenye karatasi kujiunga jumla na Klabu ya Liverpool kutokea Southampton

 Nathaniel Clyne akipozi kupata picha na Uzi wa Liverpool

Clyne amesaini mkataba wa miaka 5 kwa kitita cha  £12.5m

Clyne tayari amekamilisha mambo yake yote ikiwemo upimwaji na sasa yu Tayari kuleta mabadiliko kwenye Klabu mpya ya Liverpool.


Clyne ni miongo mwa wachezaji 6 waliosajiliwa na Liverpool kwa msimu wa 2015/2016

No comments:

Post a Comment