Drogba, Raia wa Ivory Coast mwenye Miaka 37 ambae pia ndie Mfungaji Bora kwa Nchi yake akiwa na Bao 65 kwa Mechi 105, aliondoka Chelsea mwishoni mwa Msimu uliopita baada ya kuichezea Mechi 381 kwa vipindi vyake viwili na Klabu hiyo na kutwaa Ubingwa wa England mara 4.
Tuesday, July 28, 2015
UHAMISHO: DIDIER DROGBA AJIUNGA NA KLABU YA CANADA MONTREAL IMPACT!
Drogba, Raia wa Ivory Coast mwenye Miaka 37 ambae pia ndie Mfungaji Bora kwa Nchi yake akiwa na Bao 65 kwa Mechi 105, aliondoka Chelsea mwishoni mwa Msimu uliopita baada ya kuichezea Mechi 381 kwa vipindi vyake viwili na Klabu hiyo na kutwaa Ubingwa wa England mara 4.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment