BUKOBA SPORTS

Friday, July 17, 2015

UHAMISHO: FABIAN DELPH ASAJILIWA NA MANCHEESTER CITY


Fabian Delph akisaini mkataba kujiunga na Klabu ya  Manchester City

Delph amenunuliwa kwa kitita cha £8million 
Delph wakati anaenda kufanyiwa vipimo tayari kujiunga na  Manchester City

No comments:

Post a Comment