BUKOBA SPORTS

Saturday, September 26, 2015

FULL TIME, SPANISH PRIMERA DIVISIÓN: BARCELONA 2 vs 1 LAS PALMAS, BARCA WASHINDA! MESSI AUMIA, KUKAA NJE WIKI 7-8!

Lionel Messi chini akijiuguza Habari za haraka zinasema kapelekwa Hospital na atalazimika kukaa nje kwa matibabu ambayo yanaweza kuchukuwa muda wa wiki 7 mpaka 8. Kataka mechi hiyo Messi hakuumaliza mpira huo kwani alilazika kutolewa nje.

No comments:

Post a Comment