Cristiano Ronaldo chini akijiuliza huku Malaga wakishangilia sare!
Santiago Bernabeu pawa pagumu kwa Ronaldo kajaribu zaidi ya mara 10 lakini hakupata bao lolote!
Ronaldo akipagawa baada ya kukosa nafasi ya kuifungia bao Real Madrid dhidi ya Malaga
Ronaldo baada ya kukosa nafasi ya kufunga bao
Kipa wa Malaga Carlos Kameni
No comments:
Post a Comment