Rayo ndio walianza kupata bao kupitia kwa Javi Guerra dakika ya 15.
Dakika ya 76 Suarez alifunga bao tena na kufanya bao kuwa 5-1 dhidi ya Rayo Vallecano. Ushindi huu umeifanya Barca iikamate Real kwa Pointi wote wakiwa na Pointi 18 kwa Mechi 8 lakini Real ndio wako kileleni mwa La Liga kwa ubora wa Magoli.
No comments:
Post a Comment