Bao za Newcastle United zimefungwa na Georginio Wijnaldum alifunga bao mbili dakika ya 14 na bao lingine Georginio Wijnaldum alilifunga dakika ya 26, Ayoze Pérez alimaliza kipindi cha kwanza kwa kuifungia bao la kutangulia dakika ya 33. Bao za Norwich City zimefungwa na Dieudonné Mbokani dakika ya 20 na lingine limefungwa na Nathan Redmond dakika ya 34 baada ya dakika moja kupita.
Meneja wa Newcastle Steve McClaren yupo kwenye hali ngumu sana na anahitaji ushindi dhidi ya Norwich leo hii
Newcastle wanaoanza XI: Elliot, Janmaat, Coloccini, Mbemba, Dummet, Sissoko, Tiote, Colback, Wijnaldum, Perez, Mitrovic
Toon
Akiba: Woodman, Anita, Cisse, De Jong, Lascelles, Haidara, Thauvin
Norwich City wanaoanza XI: Ruddy, Whittaker, Martin, Bassong, Olsson, Redmond, Dorrans, Tettey, Brady, Howson, Mbokani
Norwich akiba: Rudd, Wisdom, Jerome, Hoolahan, Jarvis, R Bennett, O'Neil
No comments:
Post a Comment