Ivan Rakitic akipongezana na Jordi Alba baada ya kuichapa BATE Borisov kipindi cha pili
Mlinda mlango Sergei Chernik akifanyiwa mbaya na Rakitic
Volodko na Javier Mascherano wakipambana kwenye Champions League
Rakitic na Nemanja Nikolic
Mchezaji wa Barca Munir El Haddadi akimiliki mpira
Suarez akigombea mpira wa kichwa
Ivan Rakitic dakika ya 64 alipachika tena bao na Barca kuongoza kwa bao 2-0 dhidi ya Bate.
Kipindi cha pili dakika ya 48 Ivan Rakitic aliwapatia bao la kuongoza Barca kwa kufanya 1-0 baada ya kupata ushirikiano safi kutoka kwa Neymar
No comments:
Post a Comment