Dakika ya 65 kipindi cha Pili Martial aliisawazishia bao Man United na kufanya 1-1 baada ya kupata mpira kutoka kwa Antonio Valencia.
Anthony Martial akipongezwa na wenzake wana Man United baada ya kusawazisha bao na makosa yake

Asante Martial! akipongezwa na Smalling

Zoran na Blind wakichuana vikali

Morgan kwenye patashika

De Gea akiokoa moja ya shuti kali langoni mwake

Pongezi kwa Doumbia

Seydou Doumbia

United hoi! wako nyuma ya bao 1-0

1-0

De Gea kwenye mshangao mara baada ya kufungwa bao

Hapa ndipo alipopangua mkwaju wa penati

Hatari tupu!

Martial kati

Antonio
Martial alinawa mpira mkono na refa kudai penati ipigwe kwa lango la Man United na Timu ya CSKA Moscow kujipatia bao hilo baada ya kipa De Gea kupangua na mchezaji Seydou Doumbia dakika ya 15 kumalizia mpira huo kwa kufanya 1-0 dhidi ya Man United.
Kikosi cha Man United kilichoanza

Wakati wa kupasha mapema kabla ya mechi


VIKOSI:
Manchester United wanaoanza XI: De Gea, Valencia, Smalling, Jones, Rojo, Schweinsteiger, Schneiderlin, Lingard, Herrera, Martial, Rooney
Man Utd akiba: S.Romero, Blind, Darmian, Carrick, Mata, Fellaini, Memphis
CSKA Moscow wanaonza XI: Akinfeev, Fernandes, Ignashevich, Vasili Berezutski, Schennikov, Wernbloom, Zoran Tosic, Dzagoev, Eremenko, Musa, Doumbia
CSKA akiba: Chepchugov, Aleksei Berezutski, Nababkin, Cauņa, Milanov, Golovin, Panchenko



No comments:
Post a Comment