BUKOBA SPORTS

Friday, February 26, 2016

FULL TIME: EUROPA LEAGUE, MANCHESTER UNITED 5 v 1 MIDTYJYLLAND (Agg 6-3) MARCUS RASHFORD NI BALAA ATUPIA MBILI, HERRERA NA MEMPHIS DEPAY WAKIFUNGA BAO LEO NA KUWABANA WENZAO OLD TRAFFORD!

Marcus Rashford akipetaMarcus Rashford dakia ya 75 tena alipachika bao lake la pili na kufanya 3-1 dhidi ya Timu ya FC Midtjylland.
Marcus Rashford dakika ya 63 aliipatia bao Man United kwa kufanya 2-1. 

Manchester United bao zake zimefungwa na 
Nikolay Bodurov 32' OG
Marcus Rashford 63'
Marcus Rashford 75'
Ander Herrera 87' PEN
Memphis Depay 90'
Marcus Rashford

Manchester United bao lake limefungwa na Nikolay Bodurov dakika ya 32 likiwa ni bao la kuifunga wao wenyewe FC Midtjylland.

No comments:

Post a Comment