Arsenal wamefanikiwa kuifunga Hull City bao 3-0 na kutinga hatua ya Robo Fainali ya FA Cup na sasa kucheza na West Bromwich Albion. Bao za Arsenal leo zimefungwa na Olivier Giroud dakika ya 41 na tena aliwafungia bao kipindi cha pili dakika ya 71 na Theo Walcott alifunga bao la tatu dakika ya 77 na kufanya bao kuwa 3-0. Dakika ya 88 Theo Walcott alifunga bao la nne na kufanya mtanange umalizike kwa bao 4-0 dhidi ya Hull City na mbele ya Mashabiki 20,993.
Hull: Jakupovic, Maguire, Bruce, Davies, Elmohamady, Diame, Huddlestone, Meyler, Odubajo, Powell, Diomande.
Akiba: Taylor, Hernandez, Livermore, Aluko, Robertson, Kuciak, Tymon.
Arsenal: Ospina, Chambers, Mertesacker, Gabriel, Gibbs, Flamini, Elneny, Walcott, Iwobi, Campbell, Giroud.
Akiba: Ozil, Ramsey, Sanchez, Monreal, Macey, Reine-Adelaide, Willock. Referee: Kevin Friend

No comments:
Post a Comment