BUKOBA SPORTS

Monday, April 18, 2016

JAMIE VARDY KUSHTAKIWA NA FA KWA UTOVU WA NIDHAMU.

Vardy kushtakiwa kwa utovu wa nidhamu na  FA, Jamie Vardy atashtakiwa kwa matendo yake mabaya siku ya Jumapili walipocheza dhidi ya West Ham. Kadi nyekundu aliyooneshwa katika mechi ya sare ya 2-2 litamfanya kuwa nje ya Dimba na atakosa mechi mwishoni mwa wiki hii dhidi Swansea na pia  na safari ya Manchester United Mei 1

No comments:

Post a Comment