BUKOBA SPORTS

Saturday, April 9, 2016

ITALIAN SERIE A: AC MILAN 1 - 2 JUVENTUS, PAUL POGBA AIPA USHINDI JUVE!

Alex ndie aliyeanza kuipatia bao Milan dakika ya 18 nao Juventus waliongeza bidii na kasi na dakika ya 27 Mario Mandzukic akawasawazishia kwa kufanya 1-1. 
Kipindi cha pili dakika ya 65 Paul Pogba aliwapa bao la ushindi Juventus kwa kufanya 2-1.

No comments:

Post a Comment