
BAADA ya Sare 2 katika Mechi zao mbili zilizopita za Ligi, Alexis Sanchez alipiga Bao 2 na kuipa Arsenal ushindi wa Bao 2-0 walipocheza na West Bromwich Albion Uwanjani Emirates.
Bao hizo za Sanchez zilifungwa katika Dakika za 6 na 38 na kuwarusha hadi Nafasi ya 3 na kujiweka salama kidogo kumaliza ndani ya 4 Bora wakiwa Pointi 2 mbele ya Man City walio Nafasi ya 4 na Pointi 4 mbele ya Timu ya 5 Man United.
Arsenal bao zake zimefungwa na
Alexis Sánchez 6
Alexis Sánchez 38






No comments:
Post a Comment