FULL TIME: NEWCASTLE UNITED 1 v 1 MANCHESTER CITY. ANITA AIBANA CITY ST. JAMES PARK KWA SARE!
Anita akishangilia bao lake la kusawazisha kwa Newcastle kipindi cha kwanza. Newcastle United walipata bao lao la kusawazisha kupitia kwa Vurnon Anita dakika ya 31 huku Man City wakitangulia kupata bao kupitia kwa Sergio Agüero dakika ya 14. Hadi Mapumziko ilikuwa 1-1
No comments:
Post a Comment