TIMU KUMI (10) TAJIRI DUNIANI, MAN UNITED INAPETA!
Manchester united ni moja ya klabu kubwa Duniani ina hazina ya mashabiki wengi kila sehemu ya ardhi orodha ya timu zilizo kuwa na pesa nyingi kwa sasa imetolewa kinara wa pesa Manchester United
Manchester United $190 milion
Real Madrid $162 milion
Manchester City $131 milion
Arsenal 122 milion
Liverpool $155 milion
Barcelona $108 milion Juventus $81milion
Tottenham Spurs 73 milion
Schalke $67 milion
Bayern Munich $60 milion
No comments:
Post a Comment