BUKOBA SPORTS

Friday, May 20, 2016

YANGA YAWASILI NCHINI,YAPOKELEWA KWA KISHINDO NA MASHABIKI WAKE


Golikipa wa timu ya Yanga Deogratius Munish Dida akizungumza na waandishi wa habari baada y kuwasili kutoka Angola.

Kocha Mkuu wa Yanga Hans Van De Pluijm akiwasabahi mashabiki wa timu ya Yanga waliofika kuwalaki uwanja hapo mapema leo mchana

Wachezaji wa Yanga wakitoka nje ya uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakitokea nchini Angola

Wachezaji wa Yanga wakitoka nje ya uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakitokea nchini Angola

Kocha Mkuu wa Yanga Hans Van De Pluijm akiwasabahi mashabiki wa timu ya Yanga

Wachezaji wa Yanga wakitoka nje ya uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakitokea nchini Angola.

No comments:

Post a Comment