
Mchezo huu kwa Timu ya Taifa Stars imeonekana kucheza kibinafsi kwa kila mchezaji kuliko kucheza kama timu moja na kuweza kuleta mabadiliko kwa Timu.
Zimbabwe wamepata bao la kuongoza dakika ya 9 kupitia kwa mchezaji wake wa kimataifa Musona Knowledge na mpira kwenda mapumziko Tanzania ikiwa nyuma ya bao 1-0.

No comments:
Post a Comment