DIAMOND PLATNUM NA WCB YAKE WALIVYOZIKONGA NYOYO ZA WANAIRINGA KWENYE VIWANJA VYA SAMORA
Baada ya December 24 kuangusha show kwenye fukwe za Jangwani Sea Breeze, jijini Dar es Salaam, timu nzima ya WCB ilielekea Iringa kushererehea sikukuu ya Christmas kwa show kubwa kwenye viwanja vya Samora.
No comments:
Post a Comment