BUKOBA SPORTS

Saturday, December 24, 2016

FULL TIME VPL: MBARAKA YUSUPH AIPA USHINDI KAGERA SUGAR WA BAO 1-0 DHIDI YA STAND UNITED LEO KAITABA



Kikosi cha Timu ya Stand United kabla ya Mtanange kumalizika

Kikosi cha Timu ya Kagera Sugar


Mbaraka Yusuph dakika ya 22 kipindi cha kwanza ndie aliyeifungia bao na mtanange kumalizika kwa bao hilo


1-0 Wachezaji wa Kagera Sugar wakimpongeza Mbaraka Yusuph









Wachezaji wa Stand United wakiwa hoi baada ya Mtange kumalizika kwa bao 1-0

Stand United wakubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar

Mchezaji wa Stand United akiwa aamini kama mpira umemalizika dakika 90


No comments:

Post a Comment