FULL TIME: REAL MADRID 5 v 0 GRANADA, REAL WAENDELEA KUPETA KILELENI!
Ligi ya Spanish Primera División, Mtanange wa Real Madrid umemalizika hivi punde na huku Vinara wa ligi hiyo Real Madrid wakiichakaza Bao 5-0 Timu ya Chini ya Granada.
Bao za Real Zimefungwa na
Isco (12', 31')
Karim Benzema (20')
Cristiano Ronaldo (27')
Casemiro (58')
No comments:
Post a Comment