BUKOBA SPORTS

Tuesday, May 2, 2017

NDAYIRAGIJE BADO YUPO YUPO MBAO FC



Meneja wa Mbao Fc ya jijini Mwanza, Ndayiragije
Leo amezungumza na kuondoa wasiwasi kwa Mashabiki wa Timu hiyo yenye makazi yake Jijini Mwanza ambapo inajipanga kucheza na Timu ya Simba ya Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma mwishoni mwa mwezi huu wa tano. Mchezo huo ni Fainali ya ASFC.


No comments:

Post a Comment