
Mchezaji Korey Smith amefunga goli la dakika za majeruhi wakati timu ndogo ya Bristol City ikiwatoa mabigwa watetezi wa kombe la Carabao Manchester United kwa magoli 2-1.
Smith alifunga goli katika dakika ya mwisho ya mchezo huo na kutinga nusu fainali ya michuano hiyo ambapo sasa watavaana na Manchester City.

Zlatan Ibrahimovic akiachia shuti na kufunga goli pekee la Manchester United katika mchezo huo

Korey Smith akifunga goli la ushindi lililowaondoa mabingwa watetezi Manchester United
No comments:
Post a Comment