Dakika ya 78n Cristiano Ronaldo alitupia na yeye kambani na kufanya matokeo kuwa 5-1 dhidi ya Timu ya Deportivo la Coruna.
Bao la pili la Real Madrid lilifungwa dakika ya 42 na Gareth Bale na kufanya 2-1 huku la Coruna moja lilifungwa na Adrian Lopez
LIVE: Real Madrid vs Deportivo La Coruna
Kipindi cha kwanza Real walianza wao kufungwa na baada ya muda Nacho akaisawazishia bao kwa kufanya 1-1.
Real Madrid 1-1 Deportivo (Nacho)
No comments:
Post a Comment