

Timu hiyo ya Mashetani wekundu iliipiku Arsenal kumsajili Mkhitaryan kutoka Borussia Dortmund mnamo July 2016 kwa kima cha £ milioni 26.3.
Video imethibitisha kuwa Sanchez atavaa jezi namba 7
Raia huyo wa Chile ambaye mkataba wake na Arsenal ulitarajiwa kumalizika msimu wa joto mwaka huu alitarajiwa kusajiliwa Manchester City mwaka jana.
Imeabinika wiki hii kwamba City iliamua kutomsajili tena.
Mambo safi!!!
Klabu ya Arsenal pia imemwanika Henrikh Mkhitaryan.
No comments:
Post a Comment