Wachezaji wa Watford Roberto Pereyra, Gerard Deulofeu na Daryl Janmaat wote waliziona nyavu za Chelsea Jumatatu usiku kwenye Ligi kuu ya EPL -England. Chelsea waliumaliza Mtu kumi uwanjani baada ya Bakayoko kutolewa kwa kadi nyekundu uwanjani na ndipo mambo yaliwageukia Chelsea na kufungwa magoli mengi dakika za mwishoni mwa mchezo na kumaliza 4-1. Wachambuzi walimhoji kocha Conte kuhusu kibarua chake na yeye waziwazi alisema kuwa aliwaonya wachezaji wake kucheza mchezo mzuri lakini kipingo hicho kinamweka pabaya Kocha huyo Conte. Huku kukiwa na tetesi kwamba alikuwa amepewa muda kubadilisha matokeo katika mtanange huo.
Tuesday, February 6, 2018
FULL TIME: WATFORD 4 vs 1 CHELSEA, ROBERTO PEREYRA, GERARD DEULOFEU ANA DARYL JANMAAT WAZIONA NYAVU ZA BLUES, CONTE ALIA NA WACHEZAJI WAKE. KIBARUA CHAKE KIKAANGONI!!!
Wachezaji wa Watford Roberto Pereyra, Gerard Deulofeu na Daryl Janmaat wote waliziona nyavu za Chelsea Jumatatu usiku kwenye Ligi kuu ya EPL -England. Chelsea waliumaliza Mtu kumi uwanjani baada ya Bakayoko kutolewa kwa kadi nyekundu uwanjani na ndipo mambo yaliwageukia Chelsea na kufungwa magoli mengi dakika za mwishoni mwa mchezo na kumaliza 4-1. Wachambuzi walimhoji kocha Conte kuhusu kibarua chake na yeye waziwazi alisema kuwa aliwaonya wachezaji wake kucheza mchezo mzuri lakini kipingo hicho kinamweka pabaya Kocha huyo Conte. Huku kukiwa na tetesi kwamba alikuwa amepewa muda kubadilisha matokeo katika mtanange huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment