LIVERPOOL 2 vs 2 TOTTENHAM HOTSPUR, SPURS WASAWAZISHA DAKIKA LA LALA SALAMA.
Mohamed Salah alipoipachikia bao la mapema Liverpool Salah akishuhudia bao lake mpira ukizama langoni mwa Spurs Salah akishangilia bao Salah akipongezwa..kwa bao shangwe kwa Salah Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp akisalimiana na meneja mwenzake Mauricio Pochettino Sadio Mane akiwa amefunika uso Taswira kipute Anfieldwaliposawazisha Klopp akishangilia bao Bango la M. Salah lilitawala uwanjani hapoPochettino hoi
No comments:
Post a Comment