BUKOBA SPORTS

Sunday, February 11, 2018

UWANJA WA ST. JAMES PARK WAENDELEA KUMTESA JOSE MOURINHO!! APOTEZA TENA LEO 1-0 MBELE YA NEWCASTLE UNITED.

Matt Ritchie akikacha baada ya kumfunga bao la pekee katika mchezo wa leo  David de Dea na kuwapa bao Newcastle United jioni hii kwenye Uwanja wa St James Park ambao mpaka sasa ni kitendawili kwa Meneja wa Man United Jose Mourinho.

Ritchie akishangilia bao lake jioni hii kwenye Uwanja wa St James Park

Shangwe kwa kupata bao
Chris Smalling ambaye ni beki wa Man United akishangaaa na kuduwaa kwa bao
Jose Mourinho ambaye hajashinda hata mechi moja katika uwanja wa  St James Park katika michezo saba ya Ligi kuu Premier League. Rafa Benitez

Martin Dubravka aliondosha mpira usizame kwenye lango lake uliopigwa na  Anthony Martial

Martial akiwa chini baada ya kukosa kufunga bao

Alexis Sanchez

Jesse Lingard
Sanchez akiwa chini ya ulinzi

Sanchez chini akigombe mbili
Gayle

 Jose Mourinho mpaka sasa uwanja wa  St James Park unamtesa!
Kipa wa Newcastle United akinyaka mpira
Dubravka akishangilia bao

Romelu Lukaku

No comments:

Post a Comment