Saturday, November 4, 2023

PREMIER LEAGUE: FULHAM 0-1 MANCHESTER UNITED, BRUNO FERNANDES AOKOA JAHAZI KWA TEN HAG


Bruno Fernandes akishangilia kufunga bao lake na wenzake baada ya kuipatia ushindi dakika za lala salama kwenye uwanja wa Craven Cottage, Kocha Erik ten Hag ushindi huu alikuwa akiuhitaji baada ya kuandamwa na vipigo vya mara kwa mara.  ushindi huu unaipandisha Man United nafasi ya 7 wakiwa na alama 18.


Wachezaji wa United wakimpongeza mwenzao Bruno baada ya kufunga bao la dakika za majeruhi na kujizolea alama zote tatu, United wakirejea kutoka kupoteza 3-0 dhidi ya majirani zao Man City.

No comments:

Post a Comment