Ilikuwa ni burudani ya aina yake kutoka kwa msanii wa muziki wa Hip hop Ibrahim Mussa “Roma Mkatoliki"

wadau wakichill ndani ya Linas Night Club wakati wa show

Wadau wakiwa katika show

Mashabiki wakimtuza Roma

Muonekano wa Club linas wakati wa show

Ma-Deejay kazini

Mashabiki wakijirusha na ngoma za Roma

Wadau wakiwa cool
![]() |
Roma akiwasha moto Club Linas |
No comments:
Post a Comment