BUKOBA SPORTS

Tuesday, April 10, 2012

TEMBA AASA, LULU ASIHUKUMIWE





                                                 Lulu
 
“Tusimuhukumu Liz Michael aka hotlulu kwa Kifo cha Kanumba, Walikuwa wapenzi kwa muda mrefu, so sio mauaji ni ugomvi katika mapenzi na sio wao tu inatokeaga sana na mahakama itatumia haki kuamua Shauri hilo... Hivyo sio sahihi kupost picha za Lulu na kucomment eti muuaji wa kanumba thats not poa at all, Lets not support ujinga na kusahau kuwa Maisha ni safari na Usitukane mamba wakati uzazi ungalipo, what happened kwa Lulu linaweza tokea kwa mtu yeyote so msijitafutie u star kwa kushabikia hili kwa ishu zenu personal...hii ni attitude mbaya sana maana thru FB na Twitter kila mtu anajifanya Hakimu, Polisi, Investigator na kuongea mengi with no reasons...

Poleni wafiwa kwa Msiba, na pole Lulu Michael kwa janga hili naamini siku zote UKWELI HUSIMAMA na Utajulikana... Mungu atusaidie katika hili" ....... With Best Regards, Mac Temba Jr.

 

No comments:

Post a Comment