BUKOBA SPORTS

Monday, April 30, 2012

LIGI KUU ENGLAND: MAN CITY VS MAN UNITED LEO USIKU SAA 4:0 ZAIDI YA WATU MILIONI 650 KUANGALIA PAMBANO HILO. KILA TIMU YAJIGAMBO KIVYAKE ! YASEMWA NI DABI KUBWA

saf
roo

 Sir Alex Ferguson na  Wayne Rooney walipowasili kwenye mji husika 

Massive: Ryan Giggs has played in over 900 games and this is one of the biggest
Ryan Giggs amecheza zaidi ya mechi 900 na huu mpambano anasema kazi ipo!!!

Hatima ya Ubingwa Ligi Kuu England Msimu huu inaweza kuamuliwa leo usiku wakati ile Dabi ya Timu za Jiji la Manchester itakapochezwa Uwanjani Etihad kwa Manchester City kukutana na Mabingwa watetezi Manchester United.
 Happy to stay: Tevez - spotted leaving a hotel in Manchester ahead of tonight's derby - wants to remain at the Etihad Stadium
Eyes on the prize: Sergio Aguero
Tevez (kulia) ajiandaa kuanza badala ya  Sergio Aguero(kushoto)
City gents: Joe Hart and Pablo Zabaleta leave Man City's City Centre hotel base ahead of tonight's crunch clash
Vijana wa City: Joe Hart and Pablo Zabaleta wakikatiza kwenye mji City Centre jana jioni
Man United ndio wapo kileleni mwa Ligi wakiwa Pointi 3 mbele ya Man City 

val hern
welb
                  Vijana wa Kazi  Antonio Valencia, Javier Hernandez na Antonio Valenciana leo wanahitaji sare au ushindi ili kuusogelea Ubingwa wa kihistoria wa 20 huku Mechi zikiwa zimebaki 3 kabla ya Dabi hii.
Old guard: Ryan Giggs and Paul Scholes have vast experience of the Manchester derby
Wakongwe wa Man U Ryan Giggs na Paul Scholes ni moja wachezaji wazoefu katika Tasnia hii ya mpira
Man City wao hawana ujanja na ni lazima waifunge Man United na hivyo kufungana kwa Pointi lakini wao watakuwa juu kwa ubora wa magoli.

Still going strong: Ryan Giggs has been a key part of the United squad this season despite not playing every game
Ryan Giggsni mmoja wa kiungo wa ukweli wa Man U japokuwa amekuwa achezi mara kwa mara
Mara ya mwisho kwa Timu hizi kukutana kwenye Uwanja wa Etihad Man United waliwafunga Man City bao 3-2 na kuwatupa nje ya Kombe la FA ambalo wao ndio walikuwa Mabingwa watetezi.
Kwenye Ligi Msimu huu, katika Mechi ya kwanza iliyochezwa Old Trafford, Man United ilitandikwa bao 6-1 huku wakicheza Mtu 10 kwa muda mrefu wa pambano hilo.
Murky: Manchester City players trained in the rain
Inasemekana kwa machungu ya Manchester City wachezaji walifanya mazoezi kwenye mvua
Kabla ya Mechi hiyo ya Ligi, Timu hizi zilicheza kwenye ile Mechi ya fungua pazia ya Msimu kugombea Ngao ya Hisani na Man United kushinda 3-2 baada ya kutanguliwa 2-0 hadi mapumziko.
Roo beauty: The United striker scored a stunner in the win over Man City
Rooney na leo ataonyesha makeke yake tena au ...........
Katika Mechi 5 zilizochezwa mwisho Uwanja wa Etihad kati ya Timu hizi, Man United imepoteza Mechi moja tu.

[MECHI ZILIZOBAKI kwa Man United & Man City]
Man City Man Utd
Jumatatu Aprili 30
Man City v Man Utd
Jumamosi Mei 5
Newcastle v  Man City
Jumapili Mei 13
Man City v QPR
Jumatatu Aprili 30
Man City v Man United
Jumamosi Mei 5
Man United v Swansea
Jumapili Mei 13
Sunderland v Man United

Look who's back: Mario BalotelliBaada ya kumaliza kifungo chake cha Mechi 3, ‘Toto Tundu’ Mario Balotelli yupo huru kucheza Mechi hii lakini huenda Maneja wa Man City, Roberto Mancini, akaona ni bora awabakishe Mastraika wake toka Argentina, Sergio Aguero na Carlos Tevez, ambao wamekuwa wakicheza vizuri Mechi zao za hivi karibuni.
Nae Meneja wa Manchester United, Sir Alex Ferguson, huenda akabadili Timu yake na mbinu ili kuhakikisha hawafungwi Mechi hii.
Wataalam wanahisi Fulbeki Rafael huenda asicheze na nafasi yake huenda ikakamatwa na Phil Jones au Chris Smalling.
Pia, kuna dhana kuwa Ferguson huenda akaamua kuweka Viungo watano kwa kuwajaza Ryan Giggs, Tom Cleverley au Park Ji-sung na hivyo kutomchezesha Danny Welbeck na badala yake wawe na Straika mmoja tu mbele-Wayne Rooney.

  
VIKOSI VINATEGEMEWA KUWA NAMNA HII
Man City: Hart, Richards, Kompany, Lescott, Clichy, Milner, De Jong, Yaya Toure, Silva, Aguero, Tevez.
Man United: De Gea, Jones, Ferdinand, Evans, Evra, Valencia, Carrick, Scholes, Giggs, Park, Rooney.

REFA: Andre Marinner

No comments:

Post a Comment