BRAZIL WAKIRUSHA MAPANGA BAADA YA KUIFUNGA USA
Brazil wameichapa USA bao 4-1 katika Mechi ya kirafiki na kuendeleza wimbi lao la ushindi kufikia Mechi 9 na pia kuwapa USA kichapo chao cha kwanza kwa Mwaka huu.
Brazil walianza kupata bao kwa penati ya Neymar, iliyowakera sana USA, na bao zao nyingine kutumbukizwa na Silva, Marcelo na Pato.
Bao la USA lilifungwa na Gomez.
VIKOSI VILIVYOKUWA
USA:
Howard; Cherundolo, Onyewu, Bocanegra (c), Johnson; Bradley, Jones, Edu; Donovan, Gomez, Torres
Akiba: Parkhurst, Dempsey, Beckerman, Castillo, Boyd, Goodson, Rimando
BRAZIL
Rafael; Marcelo, Juan Jesus, Thiago Silva, Danilo; Oscar, Rômulo, Sandro; Hulk, Leandro Damião, Neymar
Akiba: Jefferson, Neto, David Luiz, Alex Sandro, Bruno Uvini, Rafael, Lucas Moura, Giuliano, Casemiro, Alexandre Pato, Willington Nem
Marcelo (No 6) hails Neymar for his assist to make it 3-1
Herculez Gomez (wapili kulia) delighted the home crowd with his goal
No comments:
Post a Comment