BUKOBA SPORTS

Thursday, June 7, 2012

JERMAIN DEFOE APANDA NDEGE KURUDI NYUMBANI BAADA YA BABA YAKE MZEE JIMMY KUFARIKI LEO HII!

 
MSHAMBULIAJI wa England, Jermain Defoe Amepanda ndege kurudi England baada ya baba yake mzazi mzee Jimmy kufariki Dunia, Defoe atakosa mechi moja na wenda mechi ya Ufaransa
akacheza kwa taarifa zaidi zitakujia mara baada ya kuzipata!

Marehemu mzee Jimmy kwenye picha mbili tofauti

Jermain Defoe leaves the England team hotel

No comments:

Post a Comment