BUKOBA SPORTS

Friday, June 8, 2012

ADEN RAGE: MKATABA WA KELVIN YONDANI KWENDA YANGA NI BATILI

Mwenyekiti wa Simba SC, Aden Ismail Rage akionyesha picha ya Yondani akisaini mkataba na Yanga kwa wanahabari (hawapo pichani).
Simba Sports Club imesikitishwa na kitendo cha Young Africans kuvunja taratibu za usajili kwa kumrubuni mchezaji wake Kelvin Patric Yondani kwa kuzungumza naye na baadae kwa ushahidi wa picha kuonekana wakimuandikisha makaratasi ambayo baadaye imeripotiwa na vyombo vya Habari kwamba alikuwa akisaini mkataba wa kuichezea timu hiyo ya Young Africans.

No comments:

Post a Comment