BUKOBA SPORTS

Tuesday, June 5, 2012

TUKIO LA AJALI ILIYOTOKEA LEO MBEYA ENEO LA NTANGANO IJOMBE MBEYA KUANZIA ENEO LA AJALI MPAKA UOKOAJI NA MAJERUHI HOSPITALI!


Watu Mbali mbali wakisaidia shughuri za uokoaji katika eneo hilo

Umati Mkubwa wa watu uliofika Eneo la Ajali kushuhudia pamoja na kusaidia kazi ya uokoaji

Baadhi ya watu wakiwa wameitanda Coaster hiyo kwa ajili ya kusaidia uokoaji


Baadhi ya ya maiti kama zinavyo onekana zikiwa chini wakati wanangojea shughuri nzima ya uokoaji




Gari Kubwa la Mizigo ambalo nalo Lilipinduka Mara baada ya ajali kutokea

Watu walio Fika katika hospitali ya Rufaa kutazama miili ya Marehemu

Miili ya Marehemu ikiwa tayari imewasili katika Hospitali ya Rufaa Mbeya

Polisi na watu mbali mbali pamoja na wauguzi wakiwa wamefika kusaidia kazi ya kushusha maiti hizo

Wafanyakazi wakiwa wanakimbiza majeruhi kupata huduma ya kwanza pamoja na Kupeleka Marehemu katika chumba cha Kuhifadhia Maiti.
KUTOKA MBEYA BLOG!

No comments:

Post a Comment