
Marcio Maximo akiwa na meneja na mchezaji wa zamani wa taifa stars Leonard Tasso Mukebezi (kushoto) na kocha msaidizi ambaye pia alikuwa kipa namba moja wa taifa stars Ali Bushiri siku moja kabla ya kuelekea Ivory Coast kupambana na Senegal.
TAARIFA KUTOKA YANGA NILIZOZIPATA MUDA MFUPI ULIOPITA , ZINAELEZA KUWA KUTOKANA NA UWEZO ULIO NJE YA UWEZO WAO, MAXIMO ATACHELEWA KUWASILI, SASA ANATEGEMEWA KUWASILI NCHINI MWISHONI MWA WIKI HII.
No comments:
Post a Comment