BUKOBA SPORTS

Wednesday, July 18, 2012

ALI KIBA ALIVYOFANYA MAKAMUZI HOLLAND CLUB YA BLAAK 776


Dj G-Town akifanya vitu vyake kwenye show ya Ali Kiba aliyofanya Holland kwenye Club ya Blaak 776

Ali Kiba akifanya makamuzi kwenye Club ya Blaak 776 Nchini Holland mbele ya mashabiki wake.

Dushelele wimbo unaowatia kiwewe mashabiki pichani wakina dada wakiweweseka kwenye stage wakati Ali Kiba alipokua akionyesha jinsi gani yakuucheza wimbo huo

Mashabiki wakipata ukodak moment

Mtu nyomi ndani ya club ya Blaak 776 iliyopo Nchin Holland wakati Ali Kiba alipofanya makamuzi ya nguvu.

Mashabiki wa Ali Kiba wakipata picha ya pamoja

Wadau wa Holland wakipata Ukodak Moment

Ni furaha ndani ya nyumba Ali Kiba akikata kiu ya mashabiki Holland

Mashabiki wakipata kanywaji

Mashabiki wakibadilishana mawili matatu wakati wa show ya Ali Kiba kwenye Club ya Blaak 776
KWA HISANI YA DJ LUKE JOE(VIJIMAMBO)

No comments:

Post a Comment