
Taarifa zilizotufikia ni kwamba Meli ya Seagull iliyokuwa ikielekea visiwani Zanzibar ikitoka Dar es Salaam imezama muda huu. Meli hiyo ilitoka Dar es Salaam leo saa 7 mchana ikiwa na abiria karibia 200 na kuzama katika eneo la Chumbe jirani na Zanzibar. Mpaka sasa haijafahamika madhara yaliyotokana na ajali hiyo.
Mtandao wako wa http://www.bukobasports.com/ utazidi kukupa habari zaidi kuhusiana na tukio hili.

No comments:
Post a Comment