BUKOBA SPORTS

Monday, July 23, 2012

MAN UNITED YAJIANDAA KUMPOKEA LUCAS MOURA WA BRAZIL

  KLABU ya Manchester United imekubali kutoa dau la pauni Milioni 26 kuinunua saini ya kinda Mbrazil, Lucas Moura, mwenye umri wa miaka 19, kutoka Sao Paulo. Wakati huo huo
MAN United pia iko tayari kumsajili nyota wa Fulham, Moussa Dembele, mwenye umri wa miaka 25.

No comments:

Post a Comment