BUKOBA SPORTS

Monday, July 23, 2012

MANCHESTER UNITED WATUA SHANGHAI CHINA- KUCHEZA JUMATANO NA CHEHUA!

Wakati Manchester United wakitua Shanghai, China wakitokea Afrika Kusini ili kuendelea na Ziara yao ya kujiweka sawa kwa Msimu mpya ambapo Jumatano watacheza na Shanghai Shenhua, Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba jana Jumapili aliichezea Mechi yake ya kwanza Timu yake mpya Shanghai Shenhua. 
Maelfu ya Washabiki walifurika Uwanja wa Ndege kuwapokea Manchester United huku wakipiga kelele na kuimba ‘'Glory, Glory Man United’WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WAKIFANYA ZOEZI
Manchester United
Julai 18 vs Amazulu FC ( Moses Mabhida Stadium, Durban, Afrika Kusini)==MATOKEO 1-0
Julai 21 vs Ajax Cape Town (Cape Town Stadium, Cape Town, Afrika Kusini) ==MATOKEO 1-1
Julai 25 vs Shanghai Shenhua (Shanghai Stadium, Shanghai, China)
Agosti 5 vs Valerenga v Man United, Ullevall Stadium, Oslo, Norway
Agosti 8 vs Barcelona (Uwanja wa Ullevi, Gothenburg, Sweden)
Agosti 11 vs Hannover 96 (AWD Arena, Hannover, Germany- Chevrolet Cup)

No comments:

Post a Comment