BUKOBA SPORTS

Friday, July 13, 2012

REDD'S MISS PWANI 2012 KUPATIKANA LEO


Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Pwani wakiwa katika pozi la picha katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Apaikunda,iliyopo Kibaha maili moja.Warembo hawa usiku wa leo wanaingia katika kinyang'anyiro hicho kitakachofanyika kwenye ukumbi wa hoteli hiyo.

No comments:

Post a Comment