Suarez afunga mabao matatu
Mshambuliaji matata wa
Liverpool, Luis Suarez amefunga magoli matatu kati ya matano dhidi ya
mawili ya Norwich, ukiwa ni ushindi wa kwanza kwa timu ya Liverpool
katika msimu huu wa ligi kuu ya England.
Suarez alifunga goli la pili akiwa nje ya eneo la hatari baada ya kumiliki mpira akielekea lango la Norwich.
Suarez alifunga bao la tatu baada ya ushirikiano mzuri na Nuri Sahin.
Nohodha Steven Gerrard alishindilia msumari wa
mwisho katika jeneza la Norwich kwa kufunga bao la tano na kuifanya timu
hiyo kuangukia sasa nafasi ya 14 kati ya timu 20 za ligi kuu ya
premier.
Kileleni wapo Chelsea wenye pointi 16.MASHABIKI WA NORWICH WAKIWA AWAAMINI MACHO YAO ...
VIKOSI
Norwich:
Ruddy, Russell Martin, Turner, Barnett, Garrido, Snodgrass, Howson,
Johnson, Surman (Hoolahan 55), Morison (Tettey 79), Jackson (Holt 46).
Subs Not Used: Bunn, Tierney, Ryan Bennett, Elliott Bennett.
Booked: Barnett.
Goals: Morison 61,Holt 87.
Liverpool: Reina, Wisdom, Agger, Skrtel, Johnson (Carragher 77), Sterling, Sahin (Henderson 66), Allen, Fernandez Saez (Assaidi 59), Gerrard, Suarez. Subs Not Used: Jones, Coates, Downing, Borini.
Goals: Suarez 2, 38, Sahin 47,Suarez 57, Gerrard 68.
Att: 26,831
Ref: Mike Jones (Cheshire).

No comments:
Post a Comment