RATIBA:MATOKEO - RAUNDI YA TATU
Jumatano Septemba 26
Man United v Newcastle 2-1
QPR v Reading 2-3
Norwich v Doncaster 1-0
Arsenal v Coventry 6-1
Carlisle v Tottenham 0-3
[Saa 4 Usiku]
West Brom v Liverpool
DONDOO MUHIMU ZA CAPITAL ONE CUP
=KABLA LILIKUWA ni Carling Cup na Bingwa Mtetezi ni Liverpool.
=Linaitwa CAPITAL ONE CUP kwa sababu Mdhamini wake ni Kampuni ya masuala ya Fedha, Capital One.
=Linashirikisha Timu za Ligi za juu England 92 kwa mtindo wa Mtoano [Timu 20 toka Ligi Kuu na 24 kila moja kutoka Madaraja ya Npower, Ligi 1 na 2.
=Bingwa wa michuano hii hucheza EUROPA LIGI Msimu unaofuata kuanzia Raundi ya Tatu ya Mtoano.
MANCHESTER UNITED V NEWCASTLE
Anderson and Tom Cleverley put Man Utd ahead against Newcastle in the Capital One Cup, but sub Papiss Cisse got one back. Elsewhere, Liverpool are drawing 1-1 at West Brom and Olivier Giroud scored his first goal for Arsenal against Coventry.
=KABLA LILIKUWA ni Carling Cup na Bingwa Mtetezi ni Liverpool.
=Linaitwa CAPITAL ONE CUP kwa sababu Mdhamini wake ni Kampuni ya masuala ya Fedha, Capital One.
=Linashirikisha Timu za Ligi za juu England 92 kwa mtindo wa Mtoano [Timu 20 toka Ligi Kuu na 24 kila moja kutoka Madaraja ya Npower, Ligi 1 na 2.
=Bingwa wa michuano hii hucheza EUROPA LIGI Msimu unaofuata kuanzia Raundi ya Tatu ya Mtoano.
MANCHESTER UNITED V NEWCASTLE
Manchester United held on for a deserved 2-1 victory over Newcastle at Old Trafford.
The home side dominated proceedings in the first half and midfielder Anderson put them one up with a stunner just before the break.
After play resumed Tom Cleverley doubled United’s lead. Newcastle struck back to set up a nervy finish but Sir Alex Ferguson’s young side were able to hold on for the win.
Tom Cleverley akishangilia lakini alifanya kosa kosa mapema
Tom Cleverley Akiipatia goli Manchester United usiku huu.

VIKOSI
Man Utd: De Gea, Vermiji (Tunnicliffe 77min), Wootton, Keane, Buttner (Brady 86min), Cleverley, Fletcher, Anderson, Rooney (Powell 76min), Welbeck, Hernandez.
Subs not used: Johnstone, Evans, Lingard, King.
Goals: Anderson 44, Cleverley 58
Newcastle: Elliot, Perch, Williamson, Coloccini (Ferguson 61min), Tavernier, Obertan, Tiote (Bigirimana 71min), Gosling, Marveaux, Vuckic (Cisse 61min), Shola Ameobi.
Subs not used: Harper, Anita, Amalfitano, Sammy Ameobi.
Goals: Cisse 61Referee: Anthony Taylor (Cheshire)
Attendance: 46,358

Mtanange ukiendea usiku huu
Anderson akishangilia mara baada ya kuipatia man u goli la kwanza
Namuona Darren Fletcher capteni Manchester United akisalimiana hapa wakati timu zikitaka kuanza
Andersonakichuana na mchezaji wa Newcastle .. mtanange ulikuwa mgumu sana.
____________________________________________________________________
No comments:
Post a Comment