BUKOBA SPORTS

Thursday, September 27, 2012

CAPITAL ONE CUP:ARSENAL WALIVYOMBABUA CONVENTRY GOLI 6-1 NA KUKOSA PENATI

Olivier Giroud akishangilia goli lake la kwanza kufunga kwa timu yake ya Arsenal leo hii.

Arsenal ilionyesha mchezo safi uliojaa mashambulizi na kuwafanya wapate mabao matatu katika dakika saba ya kipindi cha kwanza wa mechi kati yao na Southampton.
Jos Hooiveld wa Southampton aliipatia Arsenal bao la kwanza baada ya kujifunga mwenyewe kabla ya Lukas Podolski kuvurumisha mkwaju mkali toka umbali wa yadi 25 na kufanya mambo kuwa 2-0.
Kiungu Gervinho aliwapa vijana wa Arsene Wenger bao la tatu kabla ya Nathaniel Clyne wa Southampton kujifunga mwenyewe. 

Hata hivyo Danny Fox alijitahidi na kuwapa wagine bao la kufutia machozi.
Baada ya kutoka mapumzikoni, mwamba Gervinho aliipa Arsenal bao la tano kabla ya Theo Walcott kufunga la sita mara tu baada ya kuingizwa uwanjani.
Licha ya kucheza mechi nne Southampton hadi sasa bado haijapata pointi yeyote na inavuta mkia katika ligi hiyo ya Uingereza.


Da! goliiiiii....Siamini...

Andrey Arshavin akikatwa na Reece Brown kwenye box, na Giroudkukosa penati hiyo!!

Acha nitupie!!

Alex Oxlade-Chamberlain akitupia 2-0

Alx Oxlade-Chamberlain akishukuliwa na Theo Walcott baada ya kufanya 2-0

Anshavin akimtupia Joe Murphy na kufanya 3-0

Coventry's Adam Barton, Reece Brown na James Baileywakiwa wamechoka kweli kweli na huku wakiwa hawaamini kilichotokea!

VIKOSI
Arsenal: Martinez, Yennaris, Djourou, Miquel, Andre Santos, Angha, Walcott, Coquelin (Frimpong 72), Oxlade-Chamberlain (Gnabry 72), Giroud (Chamakh 72), Arshavin.
Subs not used: Shea, Squillaci, Bellerin, Eisfeld.
Goals: Giroud 39, Oxlade-Chamberlain 57, Arshavin 63, Walcott 74, Miquel 80, Walcott 90.
Coventry: Murphy, Clarke, Wood, Brown, Reckord, Bailey, Barton, McSheffrey, Moussa (Fleck 60), Baker, Elliott (Ball 69).
Subs not used: Dunn, Hussey, McDonald, Edjenguele, Daniels.
Booked: Brown.
Goals: Ball 78.
Att: 58,351.
Ref: Mike Jones.


WAFUNGAJI
Olivier Giroud 39'dk
Alex Oxlade-Chamberlain 57'dk
Andrei Arshavin 63'dk
Theo Walcott 74'dk
Ignasi Miquel 80' dk
Theo Walcott 90'dk

No comments:

Post a Comment