Mabingwa watetezi, Liverpool, Manchester United, Tottenham na Arsenal,
wote wamefanikiwa kuingia Raundi y 4 ya CAPITAL ONE CUP, ambalo kabla
lilikuwa likiitwa Carling Cup, baada ya kushinda Mechi zao za Raundi ya
3.
Nuri Sahin Akiifungia Liverpool goli la kwanza
Mara baada ya kukamilika kwa Mechi za
Raundi ya 3, jana ilifanyika Droo ya kupanga Mechi za Raundi ya 4 ya
Mtoano ya CAPITAL ONE CUP ambalo zamani lilikuwa likiitwa Carling Cup au
Kombe la Ligi.
Sahin akitupia
Mabingwa watetezi, Liverpool, wao
wamepangwa kuwa nyumbani kucheza na Swansea City lakini Mechi
inayongojewa kwa hamu ni ile ya Stamford Bridge kati ya Chelsea na
Manchester United.
Kila timu ilikuwa ikiwania ushindi kwa nguvu zote
Brendan Rodgers akimpongeza Suso baada ya mtanange kuisha usiku huu.... kazi nzuri bwana!!
Jack Robinson (kulia) akimkwatua Marc-Antoine Fortune
Jamie Carragher capteni wa liverpool akichuana
WBA 1 Tottenhham 2
MAGOLI
WBA
-Gabriel Tamas, 3
TOTTENHAM=
-Nuri Sahin, 17 & 82
VIKOSI
West Bromwich Albion: Foster,Olsson, Ridgewell (Dawson - 22'), Jones, Tamas, Thorne, Dorrans,
Mulumbu, Rosenberg, Lukaku (Long - 70' ), Fortune (El Ghanassy - 87' )
Akiba: Daniels, McAuley, Dawson, Yacob, El Ghanassy, Long, Berahino
Liverpool: Jones, Coates, Carragher, Wisdom, Robinson, Sahin, Henderson,Downing, Assaidi, Pacheco (Suso - 81'), Yesil (Sinclair - 81' )
Akiba: Gulacsi, Wilson, Sterling, Conor Coady, Sama, Suso, Sinclair
DROO YA RAUNDI YA 4
Mechi kuchezwa Wiki inayoanzia Oktoba 29
Sunderland v Middlesbrough
Swindon v Aston Villa
Wigan v Bradford
Leeds v Southampton
Norwich v Tottenham
Liverpool v Swansea
Chelsea v Manchester United
Reading v Arsenal
MATOKEO - RAUNDI YA TATU
Jumatano Septemba 26
Man United 2 Newcastle 1
QPR 2 Reading 3
Norwich 1 Doncaster 0
Arsenal 6 Coventry 1
Carlisle 0 Tottenham 3
West Brom 1 Liverpool 2
Jumanne Septemba 25
Bradford 3 Burton 2 [Baada Dakika 120]
Chelsea 6 Wolves 0
Crawley 2 Swansea 3
Leeds 2 Everton 1
Man City 2 Aston Villa 4 [Baada Dakika 120]
MK Dons 0 Sunderland 2
Preston 1 Middlesbrough 3
Southampton 2 Sheff Wed 0
Swindon 3 Burnley 1
West Ham 1 Wigan 4
No comments:
Post a Comment