
Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makabirini

Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko
Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko

Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa Tayari katika Kaburi. R.I.P
Ndugu jamaa na marafiki wakimzika Mazishi yanaendelea Marehemu Marehemu Daudi Mwangosi
Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe

Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua

Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sasa

Dr Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho
No comments:
Post a Comment