BUKOBA SPORTS

Monday, September 10, 2012

WANAWAKE WA TANZANIA WAPETA SAFARI MARATHONI NAALI AMWAGWA ASHIKA NAFASI YA TATU



meneja mauzo wa bonite Gilberty Oiso

mkuu wa wilaya ya arusha mjini John Mongela akiwa anakimbia mbio za kilometa 21 lakini akufanikiwa kumaliza kilometa zote ambapo aliahidi mwakani atakipia zote






Timu nzima ya serena hotel



Watoto wa timu ya chaki walishiriki na kushika nafasi za mwanzo

meneja mauzo wa bonite Gilberty Oiso akiwa anampita mpinzani wake dr.Makani katika mbio za safari marathoni ,meneja huyu alikimbia kilometa 21 na akamaliza bila matatizo


MISOSI usipime ni balaa mishikaki iliyekuwepo kwenye safari marathon



ikionyesha washindi wanawake tatu bora wa kwanza akiwa ni Jackline sakiru katika kati wapili ni Agnrss katungi kutoka kenya na Mary naali kutoka tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa wilaya mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao


picha hii ikionyesha washindi wanawake tatu bora wa kwanza akiwa ni Jackline sakiru katika kati wapili ni Agnrss katungi kutoka kenya na Mary naali kutoka tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa wilaya mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao

No comments:

Post a Comment