BUKOBA SPORTS

Thursday, November 29, 2012

CECAFA CHALLENGE CUP 2012: BURUNDI WATINGA ROBO FAINALI BAADA YA KUIFUNGA TAIFA STARS, LEO NI ZANZIBAR HEROES vs RWANDA!!

LEO, kweye michuano ya kusaka Nchi Bingwa ya Afrika Mashariki na ya Kati, CECAFA TUSKER CHALENJI CUP 2012 huko nchini Uganda, katika Mechi ya Kundi B, Kilimanjaro Stars, imechapwa Bao 1-0 na Burundi, kwa Bao la Penati, na kuifanya Burundi iwe Timu ya pili kutinga Robo Fainali baada ya jana Wenyeji na Mabingwa watetezi, Uganda, kufanya hivyo pia.Kim

MAKUNDI:
KUNDI A: Uganda, Ethiopia, Kenya, South Sudan
KUNDI B: Sudan, Tanzania, Burundi, Somalia
KUNDI C: Rwanda, Malawi, Zanzibar, Eritrea

Penati iliyowaua Kilimanjaro Stars ilisababishwa na Shomari Kapombe na kufungwa kifundi na Ndikumana Suleiman katika Kipindi cha Pili.LEO, kweye michuano ya kusaka Nchi Bingwa ya Afrika Mashariki na ya Kati, CECAFA TUSKER CHALENJI CUP 2012 huko nchini Uganda, katika Mechi ya Kundi B, Kilimanjaro Stars, imechapwa Bao 1-0 na Burundi, kwa Bao la Penati, na kuifanya Burundi iwe Timu ya pili kutinga Robo Fainali baada ya jana Wenyeji na Mabingwa watetezi, Uganda, kufanya hivyo pia.
Katika Mechi nyingine ya Kundi B ambayo pia ilichezwa leo, Sudan iliichapa Somalia Bao 1-0.
Michuano hii itaendelea Alhamisi Novemba 29 kwa Mechi za pili za Kundi C kwa Zanzibar kucheza na Rwanda, na Eritrea kucheza na Malawi.

RATIBA/MATOKEO:
KUNDI A:
Novemba 24:  Ethiopia 1 South Sudan 0, Uganda 1 Kenya 0
Novemba 27: South Sudan 0 Kenya 2, Uganda 1 Ethiopia 0
Novemba 30: Kenya v Ethiopia, South Sudan v Uganda
MSIMAMO:
[Kila Timu Mechi 2]
1 Uganda Pointi 6
2 Kenya 3 [Tofauti ya Magoli: 1]
3 Ethiopia 3 [Tofauti ya Magoli: 0]
4 South Sudan 0
KUNDI B:
Novemba 25: Burundi 5 Somalia 1, Tanzania 2 Sudan 0
Novemba 28: Somalia 0 Sudan 1, Tanzania 0 Burundi 1
Desemba 1: Sudan v Burundi, Somalia v Tanzania
MSIMAMO:
[Kila Timu Mechi 2]
1 Burundi Pointi 6
2 Kili Stars 3 [Tofauti ya Magoli: 1]
3 Sudan 3 [Tofauti ya Magoli: -1]
4 Somalia 0
KUNDI C:
Novemba 26: Zanzibar 0 Eritrea 0, Rwanda 2 Malawi 0
Novemba 29: Malawi v Eritrea, Rwanda v Zanzibar
Desemba 1: Malawi v Zanzibar, Eritrea v Rwanda

MSIMAMO:
[Kila Timu Mechi 1]
1 Rwanda Pointi 2
2 Zanzibar 1
3 Eritrea 1
4 Malawi 0

ROBO FAINALI: Desemba 3 & 4
NUSU FAINALI: Desemba 6
FAINALI: Desemba 8

No comments:

Post a Comment